Planet and StarsMaelezo ya Jumla

 

Somo la 1

"Itana kwake Mungu!"

Kuzaliwa kwa Musa

Mungu ni Mkuu

“Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.” Zaburi 3:4
Wakati wa somo hili, kila wakati wanafunzi wanaposikia "Mwite Mungu," ruhusu waitikie kwa kusema: "Bwana, Nisaidie!" Huku wakiruka na kuinua mikono yote miwili kuelekea kwa Mungu.

Snack day 1Chumba cha maamkuli

Roboti

Darubini

Darasa la Kadeti

Student book lesson 1

Craft Day 1Uhandisi

Musa katika kikapu

Michezo ya Anga

Unda neno

Mtihani wa Ladha

Somo la 2

"Itikia kwake Mungu!"

Musa na Kichaka kilicho kuwa kina chomeka

Mungu ni Waajabu

“Nimtume nani, naye ni nani atakaye kwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi” Isaya 6:8
Wakati wa somo hili kila mara wanafunzi wanapo sikia haya maneno “Itikia kwa Mungu ‘wafanye wajibu kwa kusema “Ndio Bwana” huku wakiweka mikono yao kwa sikio. Kisha wanagongesha miguu yao pamoja kama askari huku wakisema “hapa nipo!”.

Snack day 2Chumba cha maamkuli

Kichaka cha musa kilicho kuwa kina chomeka

Ukubwa wa kushangaza

Darasa la Kadeti

Student book lesson 2

Craft Day 2Uhandisi

Kile kichaka kilicho kuwa kina ungua

Michezo ya Anga

Mbio ya Kunywa ya Relay

Mbio za kukula ndizi

Somo la 3

"Tii Mungu!"

Mapigo katika Misri

Mungu ni Wakustaajabisha

“Naye azishikaye amri zake hukaa ndani yake yeye naye ndani yake. Na katika hili tunajua ya kuwa anakaa ndani yetu, kwa Huyo Roho aliyetupa.” Waraka wa kwanza wa Yohana 3:24
Kila wakati wanafunzi wanaposikia "Mtii Mungu" wakati wa somo, ruhusu wanafunzi kujibu kwa kusema " Mimi lazima nisonge mbele " huku wakisimama na kubadilishana viti na wanafunzi wengine.

Snack day 3Chumba cha maamkuli

Mapigo

Miondoko

Darasa la Kadeti

Student book lesson 3

Craft day 3Uhandisi

Vua viatu vyako

Michezo ya Anga

Mitindo za ajabu ya Sauti

Kichwa gamu

Somo la 4

"Ngojea Mungu!"

Wingu la kuwakinga na jua wakati wa mchana na nguzo la moto kuwapa joto wakati wa usiku

Mungu ni Wakushangaza

“Kwa maana Bwana ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.” Isaya 30:18
Kila wakati wanafunzi wakisikia "Ngojea Mungu" wakati wa somo, wanafunzi wajibu kwa kusema "Niko tayari" huku wakiruka juu na kufanya ndondi, na kisha kusema "lakini mimi lazima kusubiri" wakiweka mikono yao pamoja na kukaa chini.

Snack day 4Chumba cha maamkuli

Nguzo za Wingu

Roketi za anga

Darasa la Kadeti

Student book lesson 4

Craft day 4Uhandisi

Roketi ya Galaxy Express

Michezo ya Anga

Kugusana juu ya mti

kutengeneza piramidi

Somo la 5

"Abudu Mungu!"

Kuvuka bahari ya Shamu

Mungu ni Wakutisha

“Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.” Zaburi 150:1
Kila wakati wanafunzi wakisikia "Mwabudu Mungu" wakati wa somo, wanafunzi wajibu kwa kusema "Ninakuabudu" huku waki inua mikono yao juu katika anga na kukitikisa mbele na nyuma.

Snack day 5Chumba cha maamkuli

Kuvuka Bahari katika Ardhi Kavu

Supernovas

Darasa la Kadeti

Student book lesson 5

Craft day 5Uhandisi

Kuvuka Bahari ya Shamu

Michezo ya Anga

Kuangusha Marshmallow

Relay ya Keki