Logo Wapelelezi

Wapelelezi wa tovuti

Nyakua kioo chako cha kuongeza ukbwa na avkodare ya siri kwa sababu...

... Ni wakati wa kuingia kwenye neno la Mungu!

Ni kwa furaha kurudi kwenye kifaa cha kwanza cha shule ya jumapili. niliandika miaka iliyopita wakati tulikuwa tunaanza wizara ya watoto. Kwenye mwaka wetu wa kwanza katika Sonora, mexico tuliishi kwenye nyumba ya trela kwenye ploti kubwa ya uchafu wa chumvi…hakuna maji, hakuna maji ambayo yanayo bubujika, na hakuna stima. Lakini hapo hii kifaailizaliwa. Ile siku nilimaliza somo la mwisho, Mungu aliongea na mimi kuendelea kuandika vifaa vya wizara ya watoto.na mtaala huu ,ikaanza kile ambacho sai naita wizara: kupatia vifaa za kiuchumi kwa mwili wa kristo na wasidie kulea kizazi kijacho kuwa wafuasi wa yesu na ibada kamili. Tumebadilisha vitu kadhaa kutoka kwa nyenzo ya asili; hila na michoro ya kupendeza zaidi, lakini ujumbe wa siri wa kila wiki ukiwa na funguo la avkodare itakuwa na raha kwa watoto kama vile ilikuwa mara ya kwanza. Kile ambacho kilianza na kanisa 30, na kisha ikakua hadi mamia na sasa imefikia maelfu ya makanisa duniani kote. Nashukuru Mungu kwa kunipee changamoto na kunisukuma, nashukuru yakuwa nilitii mwito ambao Mungu aliweka kwenye maisha yangu.

Hadithi za yesu kutoka kwenye kitabu cha mathayo zimekuwa moja ya maufahamu ambayo napenda. Kwenye mkono mmoja, hii nyenzo ndio ile ya rahisi tushai fanya, lakini ukifikiria kuhusu hadithi za yesu,lakini hakuna ujumbe rahisi ndani yazo. Yesu alichagua kufunza halaiki ya watu na vitendawili na waruhusu watu wajaribu kuelewa mafunzo yake,lakini alielezea wafuasi wake.

Kazi yako kama mwalimu nikufanya mawazo ya wanafunzi yapeperuke, ukiwafanya wafikirie yakuwa wao ni wapelelezi.wata gundua hapo badae kile yesu aliwa ana maanisha kwa kila hadithi ambayo tutasoma kwenye wiki hizi tatu.vile wanafunzi wanajipelelzea zaidi,ndivyo watasoma zaidi kwa kila somo. Hivi karibuni wataelewa neno la siri la nyenzo hilo;yakuwa ufalme wa Mungu unaweza patikana…

”kwenye nyoyo zetu”

Bidhaa

TOA KWENYE TOVUTI!

Ona ni nini tukonayo kwenye kurasa yetu ya bidhaa. Wakati uko hapo, toa kwenye tovuti vitabu na vifaa kwa ajili ya shule la jumapili BURE.
Ona zaidi

DecoderDecoder

Kuna ujumbe

Kila wiki kuna ujumbe wa siri kwenye vitabu za mwanafunzi ambayo itatumika kwenye somo.
Ona zaidi

PlanningPlanning

Panga darasa lako

na michezo, vilelezo, ujumbe wa siri,vibandiko na zaidi.
Ona zaidi