Galaxy Express Logo Galaxy Express nyumbani

Karibu kwenye ratiba ya ‘galaxy express’ VBS

Walimu wata furahi kubadilisha kanisa yenu ama eneo la klabu kuwa meli ya kwenda angani ambayo inajulikana kama the ‘galaxy express’ ambamo kila kikundi kita paa kwenda kwenye anga ya nje kuchunguza maajabu ya Mungu. Watoto watapata msukumo wa nguvu wanapokuwa waki peperuka ndani ya meli ya kwenda angani,wakiinama kutoka upande wa kushoto hadi upande wa kulia watakuwa wana fikiria kwamba meli inaenda upande iki epuka mawe makubwa ya anga. Nyimbo za kusikiza wakati wakupaa na kutua zitafanya fikira za watoto kupata uhai na pia michezo ya kuigiza wakiwa na nahodha na msaidizi wake ‘roboti’.

Kila siku utapeleka watoto kwa safari kwenda kwa kituo anga,watoto wataweza kwenda kwa  mwezi ama kwa sayari nyingine ama kwa nyota ambamo wata soma kuhusu ukuu wa mungu kutoka kwa maisha ya Musa. kila mtu atafurahi watakapo kuwa wana imba pamoja,wakimaliza na vitendo kwa ajili ya nyimbo.

Baada ya muda kwenye ‘daraja’watoto wata tawanyika kwa madarasa ambayo yata husisha watoto wa umri mmoja na wata weza kuzunguka katika meli ya kwenda angani, pia wataelekea kwenye madarasa ya kadeti ambamo wanafunzi  watafanyia kazi vitabu vyao na pia  wapitie hilo somo,uhandisi nao  watafanyia  kazi   ufundi  na pia watafanyia kazi chumba cha maankuli kwa vitafunio na anga ombi kwa sababu  ya somo.kwa hizi vikundi vidogo vidogo  wanafunzi wako watapata kujuana vizuri  na walimu wao, hapa wataunda urafiki mpya ambao utadumu mwaka mzima.

Ni rahisi kuita watoto nyuma pamoja kwenye ‘daraja’ kwa ajili yao kucheza michezo kadhaa ya anga. Funga siku kwa kuimba nyimbo kadhaa kutoka kwenye diski mpya ‘galaxy express’ na pia uongeze ombi, na usisahau kuwaalika tena wakuje kwenye VBS hio siku ambayo itafuata!

Natarajia kuwa mta furahishwa Na hii likizo ya chuo cha bibilia…najua utaweka ubunifu mwingi Sana ndani yake Na kuifanya iwe ‘nje ya hii dunia’

Raslimali

Toa kutoka kwenye tovuti BURE!

Tia bidii kidogo kwenye darasa ama eneo lenu liji tenganishe na za wengine na huu mchoro.

Ona mengi

Nembo

Hamasisha fikira za mtoto wako

na uwapeleke hadi kwa anga ya nje kwa kurembesha eneo la VBS! Toa kwenye mtandao nembo Na grafiki na utengeneze vifaa vya desturi kwa ajili ya VBS yako.

Ona mengi

Hila

Watoto wanapenda hila

Haya mawazo ni rahisi kufanya kutoka taifa lolote ambalo unamo ishi.toa kutoka kwenye tovuti mifumo bure na uanze ufundi!

Ona mengi