Raslimali na hati kutoka kwa tovuti

Tayarisha timu yako na ratiba yote ili kufanya VBS yako ikue tukio la kifalaki!

Kama unaweza kutaka kuagiza mpango mkubwa (zaidi ya makanisa mia moja) wasiliana nasi Ili uweze kupata neno kutoka nyenzo zilizoko katika lugha ya kiingereza na kihindi.
Tunaweza patikana nchini Mexico: 52-592-924-9041 (English/Spanish)
info@ChildrenAreImportant.com

DVD Galaxy ExpressCD Galaxy Express
CD na DVD za muziki

Fanya VBS yako ikue na furaha Zaidi kwa kutumia muziki na densi zetu za kiasili ikiwa imeundwa kwa "Galaxy express" VBS!toa muziki kwenye mtandao na uone video kwenye Youtube.(muziki iko kwa kiingereza tu mara hii)

Download: English Music and Videos (only in English and Spanish at this time. View the Spanish page.)

Crafts Galaxy Express
Ufundi

Watoto wanapenda ufundi "Galaxy express" inakuja na seti ya hila,moja kila siku,ikiwa na mifumo.tumia vifaa ambazo zinapatikana ndani ya nchi ili kusaidia watoto kuwa na raha wakiongeza nguvu masomo yao ya kila siku.kila hila imeundwa kutumia kipande kimoja cha karatasi kwa mtoto mmoja,pamoja na gundi na vifaa vya kupiga rangi.

Background Scene Galaxy Express
Nyuma ya jukwaa(background)

Hamasisha fikra za watoto nyuma ya jukwaa kwa ajili ya jukwaa lako.toa kwenye mtandao PDF na agizo  la tarp iliyo pigwa chapa.kipimo kilicho pendekezwa: 4x2m or 3x1.5m