Shule ya jumapili

Wapenzi wandugu na wadada,watoto ni wa muhimu kwa Mungu na kwetu pia,na ni kazi yetu kukusaidia kufikia yesu kwa niaba yao.njia yetu ni kuunda shule ya jumapili mpya na nyenzo ya VBS kila mwaka, kutafsiri kwa lugha mbalimbali ili watoto wote waweze kusikia injili.

Wandugu na wadada, shule yetu ya jumapili ya kwanza inaweza patikana sasa kwa lugha zifuatazo!

Logo CID Sunday School Swahili
Silaha ya Mungu

Ndugu na Dada, Kwa wakati huu tunakupandisha ngazi hadi sajenti katika jeshi la Mungu! Kila mtu katika kanisa lako atataka kushiriki katika nyenzo hii ya "Silaha ya Mungu".

Logo CID Sunday School Swahili
Mashujaa wa Imani

Karibu… katika Shule ya Jumapili ya Mashujaa wa Imani! Katika mfululizo huu wa mafunzo, tutaangazia orodha ya Mashujaa wa Imani inayopatikana katika Waebrania 11. Kwa sababu maisha yetu ya kiroho ni muhimu zaidi kuliko maisha yetu ya kimwili, tutajifunza jinsi tunaweza kuwa na maisha ya imani.

Logo CID Sunday School Swahili
CID - Christian Investigation Department

Christian Investigation Department - Shule ya Jumapili - Watoto ni muhimu