Nyumbani mweleko bila mipaka

Karibu kwa mweleko bila mipaka!

Ni mara ngapi wewe uliuliza mtoto, "Ni nini unataka kuwa ukiwa mtu mzima?"

Sote tuna ndoto za kuwa mtu fulani. Tuna matumaini ya Mungu kututumia tufanye jambo kubwa. Hii inaweza kuwa mashuleni, katika makanisa yetu, katika siasa, katika hospitali, au kufikia dunia katika kampuni yasiyo ya faida. Mungu anahitaji watu wenye uwezo katika kila eneo, na ni matumaini yetu kuwa kama mmoja wao. Kama vile tunavyo ota Mungu akitumia sisi, hata hivyo hufanya watoto katika makanisa yetu na jamii. Wana matumaini na ndoto ya kile watakuwa siku moja. Wao huota Mungu akiwa na mipango kubwa kwa maisha yao.

Habari njema ni kwamba Mungu ako na mipango kubwa kwa maisha yao.
Habari mbaya ni kwamba wengi kufanya makosa, na kukosa mpango bora wa Mungu kwao.

VBS hii yote ni kuhusu kuwasaidia watoto katika jamii yako WASIKOSE, bali kukaa katika mapenzi ya Mungu na kufanikisha jambo kubwa kwa maisha yao. Kama vile kupanda mlima, inachukua nia kubwa kujikaza, pamoja na ujasiri na nguvu ya kufikia kilele.

Likizo ya shule ya Biblia mwaka huu, tuna mgeni maalum atakaye kuja kushiriki na watoto. Mgeni wetu ni Yusufu mwenyewe, kijana aliye ota ndoto kwamba Mungu atamtumia kwa njia kubwa. Hata hivyo, "kupanda" kwa Yusufu na kuwa mmoja wa watu wenye nguvu zaidi katika dunia kulimpeleka kwanza kuwa mtumwa. Njia ya kwenda juu ya mlima kwa Yusufu ilikuwa CHINI!

Hii kwa kweli ni jinsi Mungu anafanya kazi katika maisha yetu pia. Njia ya juu kwa kweli ni CHINI! Lakini usiwe na hofu, hata kama unahisi kama hatuendi popote au kurudi nyuma, Mungu ana mpango mkubwa kwa ajili ya maisha yetu, kama vile alivyofanya kwa Yusufu. Mungu amejitoa kuendesha maisha yetu, kama tutamruhusu.

"Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza, naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona." Matthew 10:39

Tunapotoa maisha yetu kwa Mungu, hata kama tunahisi kama tuna kwenda chini, tutakuwa tuna panda juu.
Una sema nini?

Je, uko tayari kupeleka wanafunzi wako safari ya kutembea kupanda juu ya mlima? Hebu tujifanye tunakwenda maonyesho ya kutembea kwa barafu, huku tukiwa na mlipuko unao zunguka kupitia vituo vya kufurahisha kama "Nyumba ya ufundi" au "Michezo za barafu." Wanafunzi wako watafurahia kuchukua mapumziko katika "Mkahawa wa kilele" na kuonyesha sanaa waliotengeneza. Itakuwa rahisi kwa wao kushiriki waliojifunza na wazazi wao wakati wa kwenda nyumbani, kwa sababu kurasa za wanafunzi inakunjwa kufanya vikuku kwa mikono yao, ikionyesha aya ya siku. VBS hii pia ni pamoja na mpango wa kusisimua ulio na programu mpya ambayo itakayo fungua macho ya wanafunzi wako kwa dunia na kuwatia moyo wa kusaidia.

Hebu tufunge msimu huu ujao wa likizo na kujifanya ni baridi nje kwa msisimko wa huu VBS "Mwelekeo bila mipaka." Na inaweza kupata baridi kidogo katika theluji, na unaweza kuwa na uchovu wa kupata "baridi ya barafu" lakini itakuwa furaha kupanda kwa kila mtu katika kanisa zima!

Rasilimali

BURE kupakua!

Ona kile kinapatikana kwa VBS ya mwelekeo bila mipaka na upakue rasilimali bure ili kufanya VBS yako ya kuvutia!

Soma zaidi

Vituo

Panga VBS yako na

Mipango na kurasa za Mitazamo. Pitia somo kwa mtazamo, andaa VBS yako, na kuwaajiri wafanyakazi wa kujitolea.

Soma zaidi

Ufundi

Watoto WANAPENDA ufundi!

Pakua ruwaza, kusanye vifaa, na kuanza ufundi pamoja na watoto katika VBS yako!

Soma zaidi