Chuo cha bibilia cha likizo

Wapenzi wandugu na wadada,watoto ni wa Mungu kwa mungu na kwetu pia,na ni kazi yetu kukusaidia kufikia yesu kwa niaba yao. Mbinu yetu ni kuunda shule ya jumapili mpya na nyenzo ya VBS kila mwaka, kutafsiri kwa lugha mbalimbali ili watoto wote waweze kusikia injili.

Wandugu na wadada, VBS ya kwanza inaweza patikana sasa kwa lugha zifuatazo!

Logo Destination without Limits VBS Swahili
"Kustahimili Msituni" Swahili

Chukua darubini na mfuko wako wa safari na kuabiri gari aina ya jeep, kwa sababu ni wakati wa VBS ya msituni! Dunia inayotuzunguka ni kama msitu, ambapo tunajifunza namna ya kustahimili ingawa wengine wanajaribu kututumia ili kujinufaisha, kutuibia, au kutupumbaza. Hata hivyo, tunaweza kuwa wajasiri wakati tunapogundua sini ni nani katika Yesu Kristo.