Karibu!

Wapenzi wandugu na wadada,watoto ni wa muhimu kwa Mungu na kwetu pia,na ni kazi yetu kukusaidia kufikia yesu kwa niaba yao. Mbinu yetu ni kuunda shule ya jumapili mpya na nyenzo za VBS kila mwaka, kutafsiri kwa lugha mbalimbali ili watoto wote waweze kusikia injili.

Huduma ya watoto mara mingi hua inapuuzwa,ina bajetiwa pesa kiasi ndogo na ina baadhi ya upuuzaji wa hali ya juu kwa huduma ya wakristo. Lakini kuna mamilioni ya watoto ambao wanahitaji kusikia kuhusu yesu!

Ndio maana tuna weka muda wetu wote kutoa vya asili,vilivyo kamilika na shule la jumapili husika na mitaala ya chuo cha bibilia cha likizo, nyenzo za kufunzana,na raslimali kwa ajili ya Huduma ya watoto.

 

Main LogoTunafanya hivi ju tunaamini kuwa

watoto ni wa muhimu.

 

Nyenzo yetu ni bure kutoa kwenye mtandao, bure kutumia, bure kupiga chapa na bure kusambaza kwa kwa makanisa mengine na wizara bila majukumu.

Otumba, Mexico State (karibu na Mexico City)
52-592-924-9041 (Spanish/English)
info@childrenareimportant.com