Logo for Children CountWasiliana na sisi

Tunaweza taka kusikia kutoka kwako! lengo letu ni kukidhi mahitaji yako na mawazo na mtaala ukiwa muhuduma wa watoto. Nyenzo yetu ni bure kutoa kwenye mtandao,bure kutumia,bure kupiga chapa, na bure kusambaza kwenye makanisa mengine na huduma bila majukumu.

info@childrenareimportant.com

 

Kuwa msambazaji

Maono yetu ni kupeana vifaa vya bei nafuu kwa huduma ya watoto ulimwenguni kote. Hapo awali tulipeana bure bila malipo yoyote lakini baada ya miaka michache tulikua zaidi ya uwezo wetu kuendelea kupeana vifaa vingi. Sasa tunauza vifaa vyetu kwa gharama ya uchapishaji na kutuma. Kama ungependa kuwa msambazaji na ushirikiane nasi kupeana vifaa vya bei nafuu kwa huduma ya watoto katika eneo lako, tutafurahia kukusaidia. Sio wajibu wako kuwasiliana nasi kwa ruhusa ya kusambaza, lakini tunaweza sio kifedha kusaidia kwa  uchache. www.childrenareimportant.com

info@childrenareimportant.com

 

Latin America

tunapatikana mexico na tumekuwa tukiandika nyenzo kwa kihispania kutoka mwaka wa 2005. Ofisi yetu kuu ina patikana karibu na jiji la mexico: 01-800-839-1009 or 01-592-924-9041 pedidos@losninoscuentan.com

Tuna sifu Mungu kwa kuwa tumeweza kubariki nchi zifuatazo na nyenzo:mexico,Columbia,argentina,peru,Venezuela,chile,Guatemala,Ecuador,cuba,Bolivia,dominical rebublic,Honduras,Paraguay,Nicaragua,el Salvador,costa rica,panama,Puerto rico,spain,na Uruguay
makanisa mengi hutoa vitabu kwenye tovuti na kuyapiga chapa wao wenyewe,lakini bado tuko na duka la kupiga chapa mexico ambalo lina toa vitabu mexico pamoja na wasambazaji wawili,mmoja yuko Guatemala, na mwingine ana patikana Venezuela. Saa zingine, sisi hua tuna safirisha nyenzo kutoka duka letu kuu la kupiga chapa kuelekea nchi zingine tofauti.

Guatemala: 5929-2602 pedidosguate@losninoscuentan.com

 

India

Tuko na furaha sana kuanza kufanya kazi india mwaka huu,na kutoa  VBS na nyenzo za shule ya jumapili kwenye lugha mbalimbali za india.VBS yetu ya kwanza “Galaxy Express” tuna tumai itapatikana kwenye lugha ya kiingereza,kihindi,kitelugu,kikanada,kimalayalam,na kimarathi.tunafanya kazi kutafsiri nyenzo za shule ya jumapili kwenye lugha hizi. Vitabu vyote vina patikana kwenye tovuti unaweza toa hapo.

Kama una nia ya kutuunga mkono au ungetaka maelezo Zaidi wasiliana nasi kwenye tovuti www.childrenareimportant.com

info@childrenareimportant.com